Ligi Kuu ya Uingereza inaendelea wikiendi hii ambapo
mtanange mkali ni kat ya Manchester United na Manchester City
(Manchester Derby) ambao utapigwa katika dimba la Old Trafford siku ya
Jumapili.
Pia, Chelsea watamenyana na QPR mjini London
huku Liverpool wakitoana jasho na Newcastle kwenye uwanja wa Anfield
siku ya Jumatatu.
Aidha, Mechi nyingine;
Jumamosi 11 April
14:45 Swansea v Everton
17:00 Southampton v Hull
17:00 Sunderland v Crystal Palace
17:00 Tottenham v Aston Villa
17:00 West Brom v Leicester
17:00 West v HamStoke
19:30 Burnley v Arsenal
14:45 Swansea v Everton
17:00 Southampton v Hull
17:00 Sunderland v Crystal Palace
17:00 Tottenham v Aston Villa
17:00 West Brom v Leicester
17:00 West v HamStoke
19:30 Burnley v Arsenal
Jumapili 12 April
15:30 QPR v Chelsea
18:00 Man Utd v Man City
15:30 QPR v Chelsea
18:00 Man Utd v Man City
Jumatatu 13 April
22:00 Liverpool v Newcastle
22:00 Liverpool v Newcastle
Muda wote ni kwa saa za Afrika Mashariki
About the Author
0 comments: